Monday, December 23, 2013

WIZA SUPER SEMBE

UNYIHA ASSOCIATES LIMITED inawatangazia kuwa wamefungua kiwanda cha SEMBE (WIZA SUPER SEMBE ) katika mji wa Mlowo wilayani mbozi mkoani Mbeya.
Kampuni hii ina uzoefu wa kutosha katika usambazaji wa pembejeo za kilimo katika wilaya za Mbozi, Momba na Ileje.
Kwa mantiki hiyo kampuni inatarajia kuunganisha huduma hizi muhimu kwa jamii kwa lengo la kumpunguzia mkulima na mwananchi gharama zisizo za lazima katika kupata huduma.
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba zifuatazo:
+255 752 254 780
+255 755 0002623 comments:

  1. GET MONEY FASTER AND FREE, JUST COPY AND PASTEhttp://gopaidweekly.com/?ref=155316

    ReplyDelete