Wanafunzi udsm wachelewa kurudi masomoni,
Konahabari imebaini uwepo wa wanafunzi wachache katika maeneo
mbalimbali ya Chuo Kikuu Dar es salaam ikiwa ni wiki ya pili tangu Chuo hicho
kifunguliwe.
Tulipojaribu kuwahoji baadhi ya wanafunzi waliokuwepo eneo la accademic bridge, wengi kati yao walionesha kusikitishwa sana na kutozingatiwa kwa muda na ratiba za masomo ndani ya chuo hali inayowapa ugumu wa kukabiliana na masomo.

Mmoja
wa wanafunzi hao alinukuliwa akisema “ nimekuwa akishindwa kupata muda wa
kutosha kujisomea kwani masomo mengi hufundishwa ndani ya muda mfupi pindi
mitihani inapokaribia”. Chanzo cha
tatizo ni kuto kuwepo kwa uwajibikaji wa kutosha miongoni mwa viongozi na hivyo kukosekana kwa dira
na mipangilio ya masomo, “alieleza Mwanafunzi huyo” .
No comments:
Post a Comment