Sunday, March 11, 2012

wanafunzi udsm wachelewa kurudi masomoni

 
 
Wanafunzi udsm wachelewa kurudi masomoni,
Konahabari imebaini uwepo wa wanafunzi wachache katika maeneo mbalimbali ya Chuo Kikuu Dar es salaam ikiwa ni wiki ya pili tangu Chuo hicho kifunguliwe.
              Tulipojaribu kuwahoji baadhi ya wanafunzi waliokuwepo eneo la accademic bridge, wengi kati yao walionesha kusikitishwa sana na kutozingatiwa kwa muda na ratiba za masomo ndani ya chuo hali inayowapa ugumu wa kukabiliana na masomo.
                Mmoja wa wanafunzi hao alinukuliwa akisema “ nimekuwa akishindwa kupata muda wa kutosha kujisomea kwani masomo mengi hufundishwa ndani ya muda mfupi pindi mitihani inapokaribia”.  Chanzo cha tatizo ni kuto kuwepo kwa uwajibikaji wa kutosha  miongoni mwa viongozi na hivyo kukosekana kwa dira na mipangilio ya masomo, “alieleza Mwanafunzi huyo” .

No comments:

Post a Comment