Tuesday, April 10, 2012

KIGODA CHA MWALIMU NYERERE CHUO KIKUU DAR ES SALAAM


Kuanzia tarehe 12/04/2012 Konahabari itakuwa ikiwaletea taarifa kuhusu kigoda cha mwalimu Julius Kambarage Nyerere kutoka ukumbi wa Nkuruma wa chuo kikuu Dar es salaam.
Pamoja, tumuenzi muasisi wa Taifa letu na kutafakari mstakabari wa taifa letu katika siku za usoni. Tutasikia mengi kutoka kwa wanazuoni maarufu nchini akiwemo Profesa Issa Shifji mhadhiri wa Chuo kikuu Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment