Wednesday, April 4, 2012

MAAJABU SABA YA DUNIA


Kisiwa cha Jeju  Korea ya kusini
 


Halong Bay Vietnam


Amazon Rainforest and River – Bolivia,Brazil, Colombia, Equador, France Guiana, Guyana, Peru, Suriname,Venezuera.PINGAMIZI:
              Utaratibu wa upigaji wa kura katika kupata maajabu saba ya dunia ulipingwa na baadhi ya watu akiwemo waziri wa utalii wa Indonesia aliyesema kwamba  "upigaji kura haukuzingatia utaratibu mzuri kwani mtu mmoja alikuwa na uwezo kupiga kura zaidi ya mara mbili hivyo kuharibu mantiki halisi katika zoezi hilo.

2 comments: