Sunday, April 1, 2012

MATOKEO YASIYO RASMI ARUMERU MASHARIKI

HAYA NI MATOKEO YA AWALI KUTOKA KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA UCHAGUZI WA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI AMBAPO INASHUHUDIWA MCHUANO MKALI KATI YA CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO ( CHADEMA) NA CHAMA CHA MAPINDUZI ( CCM )
           (  MATOKEO RASMI YATATANGAZWA BAADA YA MAJUMUISHO YA VITUO VYOTE )
         Matokeo kutoka kwa mtandao 1.leganga kituo cha kwanza CDM 126 CCM 26... tunaelekea kituo cha pili kata ya leganga 2. Usa river sokoni CDM - 103 CCM -29 kituo cha pili CDM 88 – CCM 41 3. USA SOKONI. CDM-103 CCM-29 KITUO B. CDM-88 CCM-41 4. Liganga A-CCM=26 : CHADEMA=114 B-CCM=27 : CHCDEMA =137 USA RIVER "A" -CCM 37: CHADEMA= 111 USA RIVER "B" -CCM 37: CHADEMA= 111 5. Magadirisho1 cdm 116 ccm 37 magadirisho2 cdm 111 ccm 37 s/m leganga cdm 142 ccm 26 maji ya chai ''a'' cdm 130 ccm 53 6. TENGERU - KITUO CHA CHAMA. CDM-192 CCM-60 Ushirika CDM-116 CCM-56 Moivaro B CDM-149 CCM-34 7. Maji ya chai kituo A CDM 130 CCM 53 kituo b CDM 105 CCM 68 kituo C CCM 42 CDM 115 kituo D ccm 53 CDM 118 E CCM 60 CDM 105 8. Magadirisho1 cdm 116 ccm 37 magadirisho2 cdm 111 ccm 37 s/m leganga cdm 142 ccm 26 maji ya chai ''a'' cdm 130 ccm 53 9. kituo cha S/M Ambrenyi,Matokeo:: kura zilizoharibika -1,CCM-48,CHADEMA-182. 10. Kagadirisho shule ya msingi kituo cha kwanza CCM 37 na CDM 116 kituo cha pili CCM 37 na CDM 111 11. Kagadirisho shule ya msingi kituo cha kwanza CCM 37 na CDM 116 kituo cha pili CCM 37 na CDM 111 12. Kituo A kilichoko Inguseni kata ya kitatiti CDM 104 na CCM 52 13.Leganga shule ya msingi 146CDM,20CCM. 14. CDM wanaongoza hata nyumbani kwa mgombea wa CCM; Patandi kata ya Akeri. Kituo A CCM49 - CDM 120 Kituo B CCM 50 - CDM 128 Kituo C CCM 50 CDM 127 Kituo D CCM 45 - CDM124 15. MATOKEO YA AWALI ARUMERU MASHARIKI kituo cha nshapu 3 kata ya nkoaranga...Chadema 110,ccm 74 Kituo cha ngarasero A4..chadema 116, ccm 51 Kituo AFP - CHADEMA - 141 CCM - 32 Mbovu Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni CCM 72, CDM 132 wapiga 203, hakuna kura iliyoharibika. Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93, Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1. Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194, Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37 Chanzo vyombo vya habari mbali mabli.

No comments:

Post a Comment