Tuesday, April 3, 2012

MESSI AWAMALIZA AC MILAN KWA MATUTA


Lionel Messi amefanikiwa kufunga magori mawili kwa njia ya penalt na kuiwezesha Barcelona kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya AC Milan
Barcelona itacheza na mshindi wa mechi robofinali kati ya Chelsea na Benfica ambayo itachezwa siku ya jumatano  huko stamford Bridge.
                Endelea kutembelea konahabari kujua mengi zaidi......

No comments:

Post a Comment