Saturday, April 14, 2012

UTALII WA NDANI...

Mnyama Mwenye Mdomo Mkubwa Kuliko Wote Duniani ni Kiboko.
 
Tembo wa Afrika Mnyama wa Nchi Kavu Mkubwa Kuliko Wote Duniani
Chatu wa mashariki mwa asia na india ndiye nyoka mrefu kuliko wote duniani ...
MWANAMKE MWENYE MICHORO MINGI MWILINI KULIKO WOTE DUNIANI
Kiumbe mrefu kuliko wote duniani

Mwanamitindo mkongwe kuliko wote duniani, Bibi Kidude akipita jukwaani

Duma anayepatikana Afrika ndiye kiumbe wa nchi kavu anayekimbia kuliko wote
 
Familia moja huko nchini Thailand inajihusisha na ufugaji wa nyoka
Ronnie na Donnie ndio mapacha walioungana wenye umri mrefu kuliko wote duniani
Mwanafunzi Mzee Kuliko Wote duniani Aliyefariki Kabla ya Kumaliza Shule ya msingi.
Mama Mdogo Kuliko Wote duniani
Khagendra Thapa Magar, mwanaume mfupi kuliko wote duniani
Matonya,Omba omba maarufu kuliko wote nchini Tanzania.

No comments:

Post a Comment