Monday, April 23, 2012

WASOMI NA DEDLINE ( YADHIHIRISHWA OFISI ZA DARUSO)

Siku ya mwisho kusaini ADA Kwa wanafunzi wa UDSM.
Mamia wakiwa katika Folen, ni saa 10 jioni, wengine waja kwa kasi Ofisi za DARUSO, wasio na Chembe ya Ustaarabu waingia upande wa kushoto.

No comments:

Post a Comment