Sunday, April 8, 2012

TAARIFA KUHUSU MAZISHI YA KANUMBA

SIMANZI NA MAJONZI VIMETANDA MIONGONI MWA WATU NDANI NA NJE YA NCHI KUHUSIANA NA KIFO CHA STEVE KANUMBA, MUIGIZAJI WA FILAM ZA KIBONGO. TAARIFA ZAIDI KUHUSIANA NA KIFO CHAKE, TARATIBU ZA MAZISHI NA MAONI YA WATU ZINAENDELEA KUTOLEWA NA KONAHABARI.BLOGSPOT.COM

MWILI WA MAREHEMU UNATARAJIWA KUAGWA SIKU YA JUMANNE TAREHE 10 MWZI WA NNE 2012,
KUHUSU MAZISHI, MAMA MZAZI WA MAREHEMU ANASUBIRIWA KUFIKIKA AKITOKEA SHINYANGA
AKIFIKA ITATOLEWA TAARIFA SAHIHI ENDAPO ATAZIKWA HAPA  DAR ES SALAAM AU ATASAFIRISHWA .
TUTAENDELEA KUWAPA TAARIFA ZAIDI..........
            

No comments:

Post a Comment