Tuesday, April 10, 2012

STEVEN KANUMBA AAGWA NA MAELFU YA WATU

Maelfu ya watu kutoka sehemu mbalimbali nchini, wametoa heshima zao za mwisho kwa msanii maarufu wa filamu Steven Kanumba na kuhudhuria mazishi yaliyoongozwa na makamu wa Rais wa Tanzania Dr. Mohammed Gharib Bilali.
Mazishi yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam

 Waombolezaji wakiwasili katika makabuli ya Kinondoni kuuhifadhi mwili wa marehemu Kanumba
Idadi kubwa ya watu wakiizunguka gari iliyobeba mwili wa marehemu Kanumba
Mwili wa marehemu Kanumba ukiwasili makabulini
Mwili wa marehemu Steven Kanumba ukiingizwa kaburini
           Mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu Steve Kanumba....
             

No comments:

Post a Comment