Thursday, April 5, 2012

MBUNGE WA ARUSHA MJINI ( GODBLESS LEMA ) AVULIWA UBUNGE





Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia Chama Cha Democrasia na Maendeleo (Chadema) amevuliwa Ubunge baada ya mahakama kutangaza kuwa ameshindwa katika kesi iliyokuwa ikimkabiri. 
Upande wa mashitaka ulidai kuwa Lema alikiuka taratibu za Uchaguzi katika mikutano nane kati ya kumi aliyoifanya ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya ya lugha katika kampeni zake. 
   konahabari itaendelea kukupasha mengi kuhusiana na tukio hili...


No comments:

Post a Comment